RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ZANZIBAR MARATHON IKULU ZANZIBAR | Tarimo Blog

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Kamati ya Zanzibar Marathon ikiongozwa na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya Marathon, yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jezi na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa kwa ajili ya kukimbilia katika Zanzibar Marathon yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Maneja Masoko wa Kampuni ya Just Fit Ndg. Jabir Ali Jabir,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa treksuit na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa kwa ajili ya kukimbilia katika Zanzibar Marathon yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Maneja Masoko wa Kampuni ya JustFit Ndg. Jabir Ali Jabir,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jezi na Balozi wa Zanzibar International Marathon Bi. Salama Jabir kwa ajili ya kukimbilia katika Zanzibar Marathon yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu.)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2