Benki ya DCB yazidi kukua na kupata faida,yawaambia wanahisa wake kutoka Halmashauri ya Jiji la Illala mjini Dar es Salaam leo. | Tarimo Blog

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa, akizungumza na wanahisa wa benki hiyo wa Halmashauri ya Jiji la Ilala ukihudhuriwa na watendaji, wakuu wa idara, madiwani na mbunge wake jijini             Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni; Mweka Hazina wa Jiji la Dar es Salaam, Tulusubya Kamalamo, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Tabu Shaibu, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Omari Kumbilamoto na Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Saady Khimji.

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Omari Kumbilamoto (wa pili kulia),   akizungumza na wanahisa wa Benki ya Biashara ya DCB wa Halmashauri ya Jiji la Ilala ukihudhuriwa na watendaji, wakuu wa idara, madiwani na wabunge wao jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni; Mweka Hazina wa Jiji la Dar es Salaam, Tulusubya Kamalamo,          Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Tabu Shaibu, Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa na na Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Saady Khimji. 

Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya Biashara ya DCB, Zacharia Kapama (kushoto), akizungumza na wanahisa wa benki hiyo wa Halmashauri ya Jiji la Ilala ukihudhuriwa na watendaji, wakuu wa idara, madiwani na mbunge wake jijini Dar es Salaam leo. Kushoto kwake nyuma yake ni; Mweka Hazina wa Jiji la Dar es Salaam, Tulusubya Kamalamo,      Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Tabu Shaibu, Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Omari Kumbilamoto na Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Saady Khimji.


Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Tabu Shaibu akizungumza katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam leo wakati Benki ya DCB ikifanya mkutano na wanahisa wake kutoka kkatika Halmashauri ya Jiji la Ilala.

Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Saad Khimji (kulia), akizungumza katika mkutano huo. Wengine kutoka kushoto ni; Mweka Hazina wa Jiji la Dar es Salaam, Tulusubya Kamalamo, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Tabu Shaibu, Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa na  Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Omari Kumbilamoto.

Mkuu wa Idara ya Mikopo Benki ya Biashara ya DCB,  Isidori Msaki akizungumza wakati DCB ikikutana na madiwani, wakurugenzi na wakuu wa idara kutoka  Halmashauri ya Jiji la Ilala kuwaelea maendeleo ya benki mipango na mikakati ya baadae katika kuhakikisha benki yao hiyo inaendelea kukua na kupata faida. 

 Baadhi ya madiwani, wakurugenzi na wakuu wa idara kutoka katika Halmashauri ya Jiji la Ilala wakihudhuria mkutano huo jijini Dar es Salaam leo.

Baadhi ya madiwani, wakurugenzi na wakuu wa idara kutoka katika Halmashauri ya Jiji la Ilala wakihudhuria mkutano huo jijini Dar es Salaam leo.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2