KIKAO CHA USHIRIKIANO BAINA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS CHAFANYIKA DODOMA | Tarimo Blog




Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Mohammed Khamis Abdulla (kushoto) akiongoza Kikao cha Ushirikiano baina ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi kilichofanyika leo Julai 2, 2021 jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti Mwenza wa Kikao hicho ambaye pia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Bw. Idarous Thabit Faina.



Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Seushi Mbuli akiwasilisha Muundo wa Ofisi hiyo kwa wajumbe wa Kikao cha Ushirikiano baina ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi kilichofanyika leo Julai 2, 2021 jijini Dodoma.



Afisa Utawala Mwandamizi kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Bw. Issa Mohamed Khamis akiwasilisha Muundo wa Ofisi hiyo kwa wajumbe wa Kikao cha Ushirikiano baina ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi kilichofanyika leo Julai 2, 2021 jijini Dodoma.



Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Bw. Idarous Thabit Faina ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza akizungumza wakati wa Kikao cha Ushirikiano baina ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi kilichofanyika leo Julai 2, 2021 jijini Dodoma.



Wajumbe wakiwa katika Kikao cha Ushirikiano baina ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi kilichofanyika leo Julai 2, 2021 jijini Dodoma.



Wajumbe wakiwa katika picha ya pamoja na Wenyeviti mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Ushirikiano baina ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi kilichofanyika leo Julai 2, 2021 jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2