MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGOI LA TAIFA LA TAKWIMU MKOA WA KIGOMA | Tarimo Blog

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizindua Jengo la Taifa la Takwimu Mkoa wa Kigoma. Ujenzi wa Jengo hilo umegharimu shilingi milioni 634.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimianna na viongozi mbalimbali alipowasili katika uzinduzi wa Jengo la Taifa la Takwimu – Mkoa wa Kigoma hii leo Julai 16,2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizindua Jengo la Taifa la Takwimu Mkoa wa Kigoma. Ujenzi wa Jengo hilo umegharimu shilingi milioni 634.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Akipokea maelezo kabla ya kuzindua jengo la Taifa la Takwimu kutoka kwa meneja wa TBA mkoa wa Kigoma Julius Chego.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na wananchi wa Kigoma eneo la uwanja wa michezo wa Mwanga – Kigoma Mjini mara baada ya kuzindua Jengo la Taifa la Takwimu Mkoa wa Kigoma. Julai 16, 2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro. Joyce Ndalichako. Zawadi hiyo ni picha ya ramani ya Kijiji cha Kasumo mahali anapotokea Makamu wa Rais.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimianna na viongozi mbalimbali alipowasili katika uzinduzi wa Jengo la Taifa la Takwimu – Mkoa wa Kigoma hii leo Julai 16,2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Akipokea maelezo kabla ya kuzindua jengo la Taifa la Takwimu kutoka kwa meneja wa TBA mkoa wa Kigoma Julius Chego.PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2