Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki na Kati kutoka Nchini Kenya Eric Omondi akiwa katika picha ya Pamoja na Wafanyakazi wakati alipotembelea Banda la Shirika la Bima la Taifa( NIC) kupata elimu na Huduma za Bima katika maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja Isaya Mwakifulefule akiteta Jambo na Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki na Kati kutoka Nchini Kenya Eric Omondi wakati alipotembelea Banda la Shirika la Bima la Taifa( NIC) kupata elimu na Huduma za Bima katika maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Bima la Taifa la Bima (NIC) Isaya Mwakifulefule akizungumza na mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki na Kati kutoka Nchini Kenya Eric Omondi wakati alipotembelea banda la Shirika la Bima la Taifa( NIC) kupata elimu na Huduma za Bima katika maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.
Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki na Kati kutoka Nchini Kenya Eric Omondi akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea Banda la Shirika la Bima la Taifa( NIC) kupata elimu na Huduma za Bima katika maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment