RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA ( CCT) MKOANI MOROGORO | Tarimo Blog



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristi Tanzania (CCT) katika Eneo la Kilakala Mkoani Morogoro leo Julai 08,2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) alipowasili katika Eneo la Kilakala Mkoani Morogoro leo Julai 08,2021 kwa ajli ya kufungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya kikristo Tanzania (CCT).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya kikristo Tanzania (CCT) Mkoani Morogoro leo Julai 08,2021.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2