RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS TSHISEKEDI WA CONGO | Tarimo Blog




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, ambaye ni Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo Mhe. Nicolas Kazadi Kadino, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, ambaye ni Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo Mhe. Nicolas Kazadi Kadino, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antoine Tshisekedi ulioongozwa na Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo Mhe. Nicolas Kazadi Kadino, ulipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2021. Picha na Ikulu
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2