Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (katikati) aongoza kikao cha Bodi ya uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa Region) kilichofanyika leo Nairobi nchini Kenya. Kulia kwake ni Spika wa Bunge la Kenya, Justin Muturi.
Mjumbe wa Bodi ya uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa Region) na Mbunge wa Bunge la South Africa, Lechesa Tsenoli (katikati) akichangia jambo wakati wa kikao cha Bodi hiyo ilipokaa leo Nairobi nchini Kenya. Kushoto ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid na Spika wa Bunge la Kenya, Justin Muturi
Wajumbe wa Bodi ya uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa Region) wakiwa katika kikao cha Bodi hiyo kilichofanyika leo Nairobi nchini Kenya.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment