TAARIFA .....TAARIFA.......TAARIFA YA MASHAMBA YAMEISHAPIMWA,YANAUZWA. | Tarimo Blog

 Mashamba yenye jumla ya Heka  165  ambalo tayari yameishapimwa yanauzwa .

Mahali: Shungumbweni, Mkuranga karibu na Kiwanda cha Chumvi Neel Salt

Bei: Shamba hilo linauzwa kwa kila Heka moja ni shilingi 1,800,000/= (Milioni moja na Laki nane)..

Umbali: Kilomita 5 kutoka baharini, Kilomita 26 kutoka barabara kuu ya Dar-Lindi, (Unaweza Ingilia kwa njia ya Kibada-Mwasonga pia).

Shamba lina miti ya mikorosho iliyopandwa kwa heka 20 na zaidi, Mianzi, Kisima cha maji safi mita 72, kinatoa lita 20,000 kwa saa.

Kwa aliye SERIOUS kununua anakaribishwa sana.

KWA MAWASILIANO ZAIDI   0763000053








Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2