Mhadhiri kutoka Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu, Dkt. Kilavo Hassan akimuonesha mmoja wa kijana namna wanavyofanya Udahili katika chuo Kikuu cha Dodoma katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mhadhiri Msaidizi kutoka Shule kuu ya Tiba na Afya ya Kunywa Heriel Mfungavo akimuonesha mwanachi kozi wanazozitoa kwenye Shule hiyo katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mhadhiri Msaidizi kutoka Shule kuu ya Tiba na Afya ya Kunywa Heriel Mfungavo(wa kwanza kushoto), Mhadhiri Msaidizi kutoka Ndaki ya Sayansi za Ardhi na Uhandisi (COESE) Brenda Mndolwa( wa pili kushoto) pamoja na Mhadhiri kutoka Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu, Dkt. Kilavo Hassan(wa pili kulia) wakimsikiliza mwananchi alipokuwa akiuliza jambo mara baada ya kupata maelezo kwenye Banda la chuo Kikuu cha Dodoma katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi katika Kurugenzi ya Shahada za Juu kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa Frowin Paul Nyoni akitolea ufafanuzi kwa wananchi waliofika kwenye Banda la Udom kuhusu namna ya udahili kwa wanafunzi wapya wa mwaka wa masomo wa 2021/22 katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Afisa Udahili kutoka Kurugenzi ya Shahada za Awali UDOM, Mussa Martin akimuonesha mwananchi baadhi ya Shahada za Awali zinazotelolewa na Chuo Kikuu cha Dodoma alipotembelea Banda la Chuo hicho katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mhadhiri Msaidizi kutoka Ndaki ya Biashara na Uchumi UDOM, Betty Begasle akitoa maelezo kwa wananchi kuhusu kozi zinazopatikana katika Ndaki hiyo katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mhadhiri kutoka Shule kuu ya Tiba na Afya ya Kunywa(SMD)- UDOM, Dkt. David Munisi akitoa maelezo kuhusu vigezo vinavyotakiwa wakati wa kufanya udahili kwenye kozi zilizopo katika chuo Kikuu cha Dodoma hasa kwenye Shule Kuu ya Tiba na Afya ya Kunywa katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Dkt. Grace Msoffe akitoa elemu kwa wananchi waliotembelea kwenye Banda la Chuo hicho katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mhadhiri Msaidizi kutoka Ndaki ya Sayansi za Ardhi na Uhandisi(COESE) Brenda Mndolwa akitoa ufafanuzi kwa mwananchi kuhusu kozi zilizopo kwenye Ndaki hiyo pamoja na ada zake katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Afisa Udahili kutoka Kurugenzi ya Shahada ya Uzamili UDOM, Shemsa Rukubayunga akitoa ufafanuzi kuhusu namna ya kujiunga na masomo ya Shahada ya Uzamili katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Udahili ukiendelea katika Banda la chuo Kikuu cha Dodoma katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment