LEO majira ya saa 5:00 asubuhi timu ya Polisi Tanzania imepata ajali wakati ikitoka mazoezini kwenye uwanja wa TPC uliopo kwenye Kiwanda cha sukari TPC Moshi na kupelekea majeruhi kwa wachezaji 18 ambao ni:
1. Gerald Mdamu - amevunjika miguu yote miwili
2. Abdullazizi Makame
3. Pius Buswita
4. Daruweshi Saliboko
5. Deusdedity Cosmas
6. Salum Ally
7. Abdulmaliq Adam
8. Idd Mobby
9. Marcel Kaheza
10. Shabani Stambuli
11. Yahaya Mbegu
12. Datusi Peter
13. Mohammed Bakari
14. Mohammed Yusuph
15. Kassim Haruna
16. Christopher John
17. George Mketo - dereva
18. Vicente Ngonyani - Ngonya
Wachezaji wote hawa wapo KCMC wakiendelea na uchunguzi wa daktari, chanzo cha ajali kinachunguzwa.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment