HAWA HAPA MARAIS WA ZAMBIA TANGU KUPATA UHURU, RAIS HAKAINDE HICHILEMA AAPISHWA LEO | Tarimo Blog

 

IKIWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani akiwa amehudhuria Kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya watu wa Zambia, Hakainde Hichilema hawa hapa nchi marais waliowahi kuongoza nchi ya Zambia huku wakipokezana kijiti kutoka chama kimoja hadi kingine.

Mpigania wa Uhuru wa Chama cha United National Independence, Rais Kenneth Kaunda ambaye alifariki dunia Juni 17,2021 Rais Hakainde Hichilema ni Rais wa pili kushika nafasi ya kuongoza nchi ya Zambia wakitokea chama cha United National Independence.

Rais Hakainde Hichilema ameapishwa leo huku akiwa amemuondoa madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Edger Lungu akitokea chama cha Movement for Multiparty Democracy.
SN Jina
(miaka ya maisha)
Picha Muda wa Utawala Chama
1 Kenneth Kaunda Kenneth David Kaunda detail DF-SC-84-01864.jpg 24 Oktoba 1964 2 Novemba 1991 United National Independence Party
2 Frederick Chiluba 2 Novemba 1991 2 Januari 2002 Movement for Multiparty Democracy
3 Levy Mwanawasa Levy Mwanawasa 2004-09-23.jpg 2 Januari 2002 19 Agosti 2008 Movement for Multiparty Democracy
4 Rupiah Banda 29 Juni 2008 2011 Movement for Multiparty Democracy
5 Michael Sata 2011 2014 Movement for Multiparty Democracy
6 Guy Scott 2014 2015 Movement for Multiparty Democracy
7 Edgar Lungu 2016 2021 Movement for Multiparty Democracy
8 Hakainde Hichilema 2021 - United Party for National Development


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2