KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE AFANIKISHA UNUNUZI WA MTAMBO WA KUCHIMBIA VISIMA MAGEREZANI | Tarimo Blog


KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee akikagua gari la kuchimba visima lililonunuliwa na Jeshi hilo kwa ajili ya kupunguza tatizo la maji magerezani na kuboresha kilimo cha umwagiliaji.Gari hilo limegharimu takribani Tsh. Milioni mia tano na hamsini.
Muonekano wa gari la kuchimba visima lililonunuliwa na Jeshi hilo kwa ajili ya kupunguza tatizo la maji magerezani na kuboresha kilimo cha umwagiliaji.Gari hilo limegharimu takribani Tsh. Milioni mia tano na hamsini.
 
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2