Rais Samia awasili Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa Rais Mteule wa Zambia Hichilema | Tarimo Blog


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema leo Agosti 24,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Zambia alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema. PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akangalia vikundi vya Ngoma za aina mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema. PICHA NA IKULU.
 

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2