KUTOKA MTAANI KWETU LEO AGOSTI 10, 2021 NDANI YA UBUNGO | Tarimo Blog

Mjasiriamali akiandaa chakula kwaajili ya kuwauzia wateja wake wanaotoka maeneo mbalimbali ya jiji la Ilala kama alivyo kutwa na Kamera ya MICHUZI TV leo maeneo ya Ubungo wilaya ya Ubungo  Mkoa wa  Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.)Mjasiriamali akichoma Nyama kwa ajili kuwauzia wateja wake wanaotoka maeneo mbalimbali ya jiji  la Ilala kama alivyo kutwa na Kamera ya MICHUZI TV maeneo ya Kimara Wilaya ya Ubungo Mkoa Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2