OTHMAN MASOUD OTHMAN AONGOZA MKUTANO WA ACT WAZALENDO, WETE | Tarimo Blog










 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo,ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Othman Masoud Othman aungana na Viongozi wenzake wa Chama cha ACT Wazalendo wakiongozwa na kiongozi wa Chama hicho Ndg. Zitto Kabwe katika mkutano maalum wa kuzungumza na viongozi wa chama ngazi ya mkoa majimbo na matawi katika mkoa wa Wete Kichama.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2