MKURUGENZI MPYA GEITA, ZAHRA MICHUZI AKABIDHIWA RASMI OFISI | Tarimo Blog

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahra Michuzi (kushoto) akikabidhiwa nyaraka ikiwa ni ishara wa kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmasauri hiyo, Mhandishi Felix Nlalio jana katika, Mjini Geita. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahra Michuzi akiongoza kikao kazi na wakuu wa idara na mbalimbali, ambapo aliwasihi wafanye kazi kwa upendo na ushirikiano na kuheshimiana ili kuweza kuistawisha Halmashauri hiyo.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2