RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA PAKISTAN NCHINI. | Tarimo Blog
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Pakistani Nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu 26-8-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Pakistani Nchini Tanzania.Muhammad Saleem, aliupofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo, yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 26-8-2021.(Picha na Ikulu)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment