Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wateule wa Nchi mbalimbali hapa Nchini | Tarimo Blog

 -Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Nigeria hapa nchini Mhe. Hamisu Umar Takalmawa mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Nigeria hapa nchini Mhe. Hamisu Umar Takalmawa Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Nigeria hapa nchini Mhe. Binaya Srikanta Pradhan, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa India hapa nchini Mhe. Binaya Srikanta Pradhan Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Nigeria hapa nchini Mhe. Wiebe Jokob De Boer, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Uholanzi hapa nchini Mhe. Wiebe Jokob De Boer, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Burkina Faso hapa nchini mwenye makazo yake Nchini Kenya Mhe. Madina Diaby Kassamba Ganou, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Burkina Faso hapa nchini mwenye makazo yake Nchini Kenya Mhe. Madina Diaby Kassamba Ganou, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Guinea hapa nchini mwenye Makazi yake Nchini Addis Ababa, Ethiopia  Mhe. Gaussou Toure, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021. PICHA NA IKULU.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Guinea hapa nchini mwenye makazo yake Nchini Addis Ababa, Ethiopia  Mhe. Gaussou Toure, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2