WAJUMBE KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA WAPOKEA NA KUJADILI MAELEZO YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA | Tarimo Blog

Mwenyekiti wa Bunge na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, Mhe. David Kihenzile akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili maelezo ya ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira kuhusu matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa katika Mazingira kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 25, 2021, kulia ni Katibu kamati wa kamati hiyo, Bi. Zainab Mkamba



Wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili maelezo ya ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira kuhusu matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa katika Mazingira kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 25, 2021, katikati anayezungumza ni Mwenyekiti wa Bunge na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, Mhe. David Kihenzile na kulia kwake ni Naibu Waziri ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Hamad Chande.



Mbunge wa Njombe na Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, Mhe. Deo Mwanyika akichangia jambo wakati kamati hiyo ikipokea na kujadili maelezo ya ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira kuhusu matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa katika Mazingira kikao kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 25, 2021



Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Hamad Chande akitolea ufafanuzi mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakati kamati hiyo ikipokea na kujadili maelezo ya ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira kuhusu matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa katika Mazingira tukio lililofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 25, 2021,

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2