WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA CAF | Tarimo Blog

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) , Patrice Motsepo ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 13, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) , Patrice Motsepo (wa pili kulia) ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 13, 2021 . Wa pili kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, kushoto ni Rais wa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia , wa tatu kulia ni Mke wa Rais wa CAF, Precious Motsepo na wa nne kulia ni Katibu Mkuu wa CAF, Veron Mosengo – Omba.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) , Patrice Motsepo ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 13, 2021 . Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2