Kuelekea maadhimiso ya miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar wizara zaeleza mafanikio yake | Tarimo Blog
Waziri wa Uchumi wa Buluu na uvivu Mh.Abdalla Hussein Kombo Akitoa taarifa ya mafanikio na utendaji wa Wizara yake, kuelekea maadhimiso ya miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Afisa habari kutoka Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Faki Mjaka akiuliza Suali kuhusu ulaji wa kasa ambao umekua ukisababisha vifo ,katika hafla ya utoaji wa taarifa ya mafanikio na utendaji wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,taarifa hiyo ilitolewa na Waziri wa Wizara hiyo Mh.Abdalla Hussein Kombo Huko Ukumbi wa Wizara ya utalii Kikwajunu Zanzibar .
Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Hassan Hassan akiuliza swali kuhusu uchumi wa Buluu katika hafla ya utoaji wa taarifa ya mafanikio na utendaji wa Wizara ya hiyo, ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,taarifa hiyo ilitolewa na Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mh.Abdalla Hussein Kombo Huko Ukumbi wa Wizara ya utalii Kikwajunu Zanzibar .PICHA NA FAUZIA MUSSA -MAELEZO ZANZIBAR.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment