NAIBU WAZIRI NISHATI ATEMBELEA MIUNDOMBINU YA KUPOKELEA MAFUTA DSM | Tarimo Blog




Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato (mwenye suti ya Bluu) akikagua miundombinu ya kupokelea mafuta Kurasini na Kigamboni, Jijini Dar es salaam kwa Lengo na kuona utendaji kazi katika eneo hilo


Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato( mwenye suti ya Bluu) akikagua mifumo ya Kompyuta inavyofanya kazi katika eneo la kupokelea mafuta Kurasini na Kigamboni Jijini, Dar es salaam, wakati wa ziara yake ya kuona utendaji kazi katika eneo hilo


Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato (mwenye suti ya Bluu) akipata maelezo katika meli iliyokuwa inapakua katika eneo la Kurasini( KOJ), Jijini Dar es salaam, wakati wa ziara yake ya kuona utendaji kazi katika eneo hilo

…………………………………………………………….

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amefanya ziara ya kukagua miundombinu ya kupokelea mafuta iliyoko Kigamboni na Kurasini (KOJ) Jijini Dar es Salaam. Lengo likiwa ni kuona utendaji kazi katika eneo hilo.

Wakili Byabato amefanya ziara hiyo Desemba 17, 2021 akiambatana na Uongozi wa Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja( PBPA) na Maafisa kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2