MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA MALAWI | Tarimo Blog

MAKAMU wa Rais yupo nchini Malawi kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) unaofanyika  tarehe 11-12 Januari 2022.





 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama MboniMpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Asubuhi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Patrick iliopo mtaa wa 11, Lilongwe Nchini Malawi. Januari 11,2022.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2