Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mhandisi Kutoka Wakala wa Majengo kuhusu ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya Kendwa, alipoweka jiwe la msingi la kituo hicho Wilaya ya Mkoani, Pemba.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya Kendwa, Wodi ya Wazazi na nyumba ya daktari, Wilaya ya Mkoani, Pemba Januari 09, 2022. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii. Wazee, jinsia na Watoto-Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mhandisi Kutoka Wakala wa Majengo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya Kendwa, alipoweka jiwe la msingi la kituo hicho Wilaya ya Mkoani, Pemba.
Baadhi ya Wakazi wa Wilaya ya Mkoani, Pemba wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya Kendwa, Wodi ya Wazazi na nyumba ya daktarin.
Muonekano wa Kituo cha Afya Kendwa kilichopo Wilaya ya Mkoani, Pemba ambacho Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya Kendwa Wilaya ya Mkoani, Pemba Januari 09, 2022 (Picha Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment