Mafunzo ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha yanayotolewa na DCB Foundation kuendelea kuwanufaisha watanzania | Tarimo Blog

 

Ofisa Mikopo Vikundi vidogo vidogo wa Benki ya Biashara ya DCB, Leticia Nyato akizungumza na wajasiriamali jijini Dar es Salaam jana wakati wa mahafali ya kwanza ya mafunzo ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha yaliyotolewa na benki hiyo kupitia asasi yake ya  DCB Foundation.


Ofisa Mikopo ya Biashara wa Benki ya Biashara ya DCB, Odilia Johnson akizungumza na wajasiriamali jijini Dar es Salaam jana wakati wa mahafali ya kwanza ya mafunzo ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha yaliyotolewa na benki hiyo kupitia asasi yake ya  DCB Foundation.


Ofisa Masoko na Huduma kwa Wateja Benki ya Biashara ya DCB, Elizabeth Ntulu (kulia) akikabidhi cheti kwa Shafii Njayo wakati wa mahafali ya kwanza ya mafunzo ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha yaliyotolewa na benki hiyo kupitia asasi yake  ya DCB Foundation  jijini Dar es Salaam jana.

Ofisa Masoko na Huduma kwa Wateja Benki ya Biashara ya DCB, Elizabeth Ntulu (kulia) akikabidhi cheti kwa Amina Ally wakati wa mahafali ya kwanza ya mafunzo ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha yaliyotolewa na benki hiyo kupitia asasi yake ya DCB Foundation  jijini Dar es Salaam jana.

Ofisa Masoko na Huduma kwa Wateja Benki ya Biashara ya DCB, Elizabeth Ntulu (kulia) akikabidhi cheti kwa Baraka Jeremia wakati wa mahafali ya kwanza ya mafunzo ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha yaliyotolewa na benki hiyo kupitia asasi yake ya DCB Foundation  jijini Dar es Salaam jana.

Wafanyakazi  wa Benki ya Biashara ya DCB wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajasiriamali wakati wa mahafali ya kwanza ya mafunzo ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha yaliyotolewa na benki hiyo kupitia asasi yake ya DCB Foundation  jijini Dar es Salaam jana.

 



Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2