Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Viongozi kutoka UNICEF walipokutana katika Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo DOHA FORUM unaofanyika Jijini Doha, Qatar.
Prof Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akiwa katika mazungumzo maalum na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Education Above All la Qatar Fahad Al- Sulaiti juu ya ushirikiano na Tanzania katika kuimarisha elimu Doha Qatar
Prof Adolf Mkenda Waziri wa Elimu Sayansi an Teknolojia akiwa katika Picha na Baadhi ya Mawaziri waluohudhururia Jukwaa la majadiliano ya kuleta mabadiliko sahihi katika Elimu ylililofanyika sambamba na Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo Doha Forum,jijini Doha, Qatar
Mkutano huo unaofanyika kila Mwaka umeshirikisha viongozi na wataalamu kutoka nchi mbalimbali Duniani ambapo Mwaka huu umelenga katika kujadili jinsi ya kuleta mabadiliko chanya katika maendeleo.
Moja ya Agenda katika mjadala wa mkutano huo ni mabadiliko halisi na chanya katika elimu hususa baada ya athari za UVIKO 19 ambapo Waziri wa Elimu ameshiriki katika majadiliano hayo ambayo yanahusisha Mawaziri kutoka Nchi 9 ikiwemo Qatar ,Tanzania,Uganda, Sudan Kusini, Siera Leone na Somalia.Akizungumza katika jukwaa hilo la majadiliano Prof. Mk…
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment