Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kilichopokea na kupitisha taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho kimefanyika leo Machi 24, 2022katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa IPU.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kilichopokea na kupitisha taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho kimefanyika leo Machi 24, 2022katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa IPU. Kuanzia kushoto ni Mhe. Dkt. Joseph Mhagama (Mjumbe wa Baraza la Uongozi), Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau, Mjumbe wa IPU, Mhe. Elibariki Kingu na Mjumbe wa Baraza la Uongozi, Mhe. Esther Matiko
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kilichopokea na kupitisha taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho kimefanyika leo Machi 24, 2022katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa IPU. Wapili kulia ni Rais wa Umoja huo, Ndg. Duarte Pacheco
Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakiwa katika kikao cha kupokea na kupitisha taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho kimefanyika leo Machi 24, 2022katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa IPU.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment