VODACOM TANZANIA FOUNDATION WATEMBELEA HOSPITALI YA MKOMAINDO WILAYANI MASASI KUJIONEA MAENDELEO YA HUDUMA KWA WATOTO NJITI | Tarimo Blog
Muuguzi Mkuu wa Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Devotha Namahala (kulia) akitoa ufafanuzi wa matumizi ya kifaa tiba ‘baby warmer’ na mashine ya oxygen kwa Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald alipotembelea hospitali ya Mkomaindo ili kujionea utendaji kazi wa vifaa vilivyotolewa na taasisi hiyo kwa ajii ya kusaidia matibabu ya watoto njiti hospitalini hapo
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment