SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI, SPIKA WA BUNGE LA ZAMBIA | Tarimo Blog




Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Katibu Mkuu wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Martin Chungong wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Martin Chungong wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Spika wa Bunge la Zambia, Mhe. Nally Mutti wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada leo Agosti 26, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2