UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WADADISI WA MAFUNZO YA UTAFITI WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WAFANYIKA ZANZIBAR. | Tarimo Blog

 Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mayasa Mahfoudh Mwinyi akitoa maelezo kuhusu Utafiti wa Watu wenye Uwezo wa Kufanyakazi wa mwaka 2020/21 katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya Utafiti huo yaliofanyika katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.
 Mkurugenzi Idara ya Usalama na Afya Kazini Suleiman Khamis Ali akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Utafiti wa Watu wenye Uwezo wa Kufanyakazi wa mwaka 2020/21 yaliofanyika katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.
 -Baadhi ya Wageni waalikwa na Wadadisi wa Mafunzo ya Utafiti wa Watu wenye Uwezo wa Kufanyakazi wa mwaka 2020/21 waliohudhuria katika mafunzo  yaliofanyika katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Takwimu Zanzibar DKT,Said Gharib Bilal akitoa neno la Shukrani katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya Utafiti huo yaliofanyika katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Usalama na Afya Kazini Suleiman Khamis Ali (katikati)akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi na Wadadisi  katika hafla ya mafunzo  kwa Wadadisi wa  Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi yaliofanyika katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2