Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria leo katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,12/08/2020.
Viongozi katika Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),12/08/2020.
Maafisa wa Idara za mbali mbali za Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),12/08/2020.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Nd,George Joseph Kazi akisoma taarifa ya Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wakati wa Kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mipango Sera na Utafiti BI.Daima Mohamed Mkalimoto.
{Picha na Ikulu} 12/08/2020.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment