Msafara wa magari na pikipiki ukimsindikiza Mgombea ubunge jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa kwenye uzinduzi wa Kampeni za CCM jimbo la Karagwe kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani uliofanyika kwenye viwanja vya Stendi ya Omurushaka, Karagwe, Kagera
Mgombea ubunge jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na Wananchi wa Karagwe wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM jimbo la Karagwe kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani katika viwanja vya Stendi ya Omurushaka, Karagwe, Kagera
Wagombea Udiwani wa kata 23 za jimbo la Karagwe na Udiwani viti maalum wakitambulishwa kwa wananchi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM jimbo la Karagwe kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani katika viwanja vya Stendi ya Omurushaka, Karagwe, Kagera.
Picha na Eliud Rwechungura
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment