KUPANDISHA hadhi zahanati ya kijiji cha Mipeko, Ulega amesema iwapo CCM itashinda itakamilisha zahanati hiyo sambamba na kuipandisha hadhi na kuwa kituo cha afya kwani kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu linaloongezeka kila siku.
Mgombea Ubunge jimbo la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapindunzi na Wananchi leo kata ya Mipeko katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwenye viwanja vya Mwanambaya.
Wananchi wa kata ya Mipeko wakimsikiliza Mgombea Ubunge jimbo la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega(hayupo pichani)
Muonekano wa wananchi na wakazi wa Jimbo la Mkuranga. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment