Zoezi la usajili wa baa kwa ajili ya kampeni ya Raise the Bar ya SBL waendelea | Tarimo Blog

 
Mwakilishi wa kampuni ya Bia ya Serengeti alimwelekeza mmoja wa wateja namna ambavyo anaweza kujaza fomu kwa ajili ya kuomba kunufaika na mradi wa kunyanyua baa baada ya kuathiriwa na ugonjwa wa Corona unaojulikana kama Raise the Bar.


Hassan Matata akimwelekeza mmoja wa wafanyakazi wa MK bar iliyopo jijini Dar es Salaam namna ya kujaza fomu ya maombi kwa ajili ya kuomba misaada mbali mbali inayotolewa na Kampuni ya SBL kupitia mpango wa kusaidia baa kunyanyuka maarufu kama Raise the Bar

Mmoja kati ya wateja waliofika katika banda lililowekwa kwa ajili ya kuwaelekeza wenye mabaa namna ya kujisajili katika mpango wa kuyasaidia mabaa kunyanyuka unaojulikana kama Raise the Bar au Tunyanyuke Pamoja akipata maelekezo kutoka kwa wawakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti



Faith Mpawa, mmoja kati ya wawakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti akimwelekeza mmoja wa wafanyakazi wa baa ya Meridian iliyopo Vijana Kinondoni namna ya kujisajili katika Mpango wa kuzisaidia baa kunyanyuka maarufu kama Raise the Bar unaofadhiliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

1/Post a Comment/Comments

Post a Comment

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2