Akizungumza kuhusiana na suala hilo mtafiti wa utengenezaji wa bidhaa hiyo nyeti ya kaboni ambayo imekuwa inatumia Zaidi ya mabilioni ya fedha kuigaiza nje ya nchni ikiwemo China na India Tiberius Mario ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa kamampuni ya uzalishaji wa kaboni [activated carbon } jijini dar ess laam amesema kwa kutumia kabon hiyo ambayo inatengenezwa kwa vifuu vya nazi {coconut shells} itasaidia kuokoa Zaidi ya shilingi billioni 15 ambazo utumika kuagiza tani 1530 ambazo zinatumika kuchenjulia madini katika migodi mbalimbali ya dhahabu nchini.
Aidha Mario ameongeza kuwa changamoto ya mtaji ambao amebainisha ni shilingi 45 milioni pamojana upatikanaji wa baadhi ya vifaa hivyo ikiwemo kifaa cha kisasa cha uzalishaji joto utakao saidia kuzalisha kiwango kinachosadi kupunguza matumizi ya fedha za kigeni zinazozalisha bidhaa hiyo pamoja na kuongeza ajira kwa vijana kupitia uzalishaji wa bidhaa hiyo nyeti kwa watafutaji na wachambaji wa madini na nibidhaa isiyona athari yoyote ya kimazingira
Kwa sasa Tanzania imekuwa na utafiti mwingi wa kutafuta mwarobaini wa kupunguza athari za kimazingira husani kwenye matumizi ya kemikali ambazo zimekuwa zikitumika kwenye migodi mbalimbali na kupelekea kuleta athari kwa mazingira pamoja na viumbe hai ikiwemo mwanadamu lakini kwa kupitia teknolojia hiyo ambayo inafanyakazi kwa asilima 98 ukilinganisha na kemikali.Mtafiti wa Masula ya KABONI, Tiberius Mario (mwenye tisheti ya kijani)akipoke mfano wa hudi baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika utafiti wa CABONI katika mashindano ya kitaifa ya Sayansi na Teknolojia na ubunifu Makisatu-2022. Mtafiti wa Masula ya KABONI, Tiberius Mario akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari yaliyoandaliwa na Tume ya Sayansi na Teknlojia (COSTECH) jijini Dar es Salaam Mwanzo wa Machi, 2023.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment