MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHI WA KABUKU,MICHUNGWANI TANGA | Tarimo Blog

Ad

Ads1

 


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kabuku Handeni Vijijini mkoani Tanga mara baada ya kuwasili wakati akitokea mkoani Pwani leo tarehe 19 Oktoba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kijana Fadhil Amiri mfugaji wa Bata Mzinga katika kijiji cha Kwemkonga Handeni Vijijini. Mfugaji huyo alimzawadia Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli Bata Mzinga

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Michungwani mkoani Tanga leo tarehe 19 Oktoba 2020.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

Sponsor Ad

Ads2

Post a Comment

Previous Post Next Post