RAIS DK.MWINYI AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU WA FEDHA NA MIPANGO (TEHAMA) | Tarimo Blog

 



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitia saini hati ya kiapo ya Nd.Rashid Said Rashid  mara baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd.Rashid Said Rashid   kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimuapisha Nd.Rashid Said Rashid   kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi  hati ya kiapo ya Nd.Rashid Said Rashid  mara baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na  Nd.Rashid Said Rashid  mara baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Nd.Rashid Said Rashid  (kutoka kushoto) Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Jamal Kassim Ali,Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee,Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume. [Picha na Ikulu

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid (kulia) Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dk.Mwinyi Talib Haji na Mkuu wa Wilaya ya Mjini pia Kaimu Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Marina Joel Thomas (kushoto)  wakiwa katika hafla ya kuapishwa  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Nd.Rashid Said Rashid, iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakiwa katika hafla ya kuapishwa  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Nd.Rashid Said Rashid, iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

 



Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2