MKUU WA MKOA MWANZA AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA BENKI YA EQUITY TANZANIA | Tarimo Blog

Ad

Ads1

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh.John Mongella leo amefanya mazungumzo na uongozi wa Benki ya Equity Tanzania kama njia ya kuboresha mahusiano ya kibiashara mkoani humo. Ujumbe wa Benki ya Equity uliongozwa na Mkurugenzi Mwendeshaji Esther Kitoka (wa pili kushoto).
 


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

Sponsor Ad

Ads2

Post a Comment

Previous Post Next Post