Msajili Mwandamizi kutoka RITA, Rehema Mushi akiwaomba fomu za wananchi waliofika kwenye banda la Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ili awahudumie leo katika maonesho 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi TV)
Afisa Mawasiliano wa (RITA) Jafari Malema akizungumza na wananchi na kuwaelekeza namana ya kujanaza fomu waliofika kwenye banda la RITA leo katika maonesho 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii.
kama inayoonekana pichani kazi ikiendelea ya kuwahudumia wananchi.
(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi TV)
Wananchi wakijaza fomu kwaajili ya veti vya kuzaliwa kwenye banda la RITA katika ya maonesho 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Kama inavyoonekana picha wananchi wakiwa kwenye foleni kwenye banda la Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) leo katika ya maonesho 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment