Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Rehema Hamisi ambaye amejifungua mtoto wa kike katika Kituo cha Afya cha Nandagala wilayani Ruangwa, mkoani Lindi katika wodi ya Mama na Mtoto kwenye kituo hicho, Desemba 31, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia mtoto, Sarah Abubakar (1.5) na mama yake Loveness Njinjo wakati alipotembelea wodi ya Mama na Mtoto katika Kituo cha Afya cha Nandagala wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, Desemba 31, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment