Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Mkuu wa Kikosi cha Kuzuia Magendo KMKM Komodoo Azana Hassan Msingiri (katikati) mara baada ya kumjulia hali Mzee Hassan Omar Mzee aliyelazwa katika Kituo cha Afya Kibweni Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) L.Kamanda Mwashamba Mbarouk Salum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia na kumjulia hali Mzee Hassan Omar Mzee alipofika Kituo cha Afya Kibweni Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 24/12/2021.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment