SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU BUNGENI JIJINI DODOMA | Tarimo Blog

Ad

Ads1




Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Rashid Hamduni alipomtembelea leo Mei 16, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)




Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Rashid Hamduni alipomtembelea leo Mei 16, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

Sponsor Ad

Ads2

Post a Comment

Previous Post Next Post