WAZIRI AWESO AWASHA MOTO HUDUMA KUBORESHWA MAMLAKA YA MAJI ARUSHA,ATOA SIKU 30 | Tarimo BlogJanuary 26, 2024
HomeMATUKIO KAMPUNI YA SUKARI YA KILOMBERO WASIFIA MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI NCHINI TANZANIA | Tarimo Blog NaMpekuzi -08:23:00 0 Ad Kampuni ya Sukari ya kilombero imesema ndoto ya serikali ya kuhakikisha upatikanaji wa sukari nchini inaelekea kutimia kutokana na uwekezaji mkubwa unaofanywa na kampuni hiyo kupitia wawekezaji kutoka kampuni ya Uingereza, Associate British Sugar. Akizungumza wakati wa ziara ya wawekezaji hao katika mradi wa upanuzi wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sukari Kilombero, Guy Williams Naye mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Kampuni ya Sukari Kilombero Sugar, Balozi Ami Mpungwe amesema kuwa uamuzi wa wawekezaji hao kuwekeza nchini Tanzania ni kielelezo sahihi cha imani waliyonayo katika mazingira ya uwekezaji huku akiiomba serikali na taasisi husika kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji hasa katika uzalishaji wa sukari nchini. Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA Sponsor Ad
Post a Comment